Tuesday, December 20, 2011
MVUA KUBWA YASABABISHA MAFULIKO DAR
Mvua kubwa alionyesha usiku wakuakia leo Tarehe 20/12/2011 Dar yasababisha shughuli zakiuchumu kukwama kwamuda leo, pia mali za watu zaalibiwa vibaya na mvua hiyo. maeneo ya bonde la jangwani ndio yalioalibiwa zaidi, pia yasababisha vifo vya watu takilibani wato.
KUAPISWA KWA RAIS KABILA
Mh. Mizengo Pinda auzulia kuapiswa kwa Rais Kabila kua Raisi wa DRC kwa awamu ya pili leo tarehe 20/12/2011
Thursday, December 15, 2011
david with lawyers at make
Always in the journey of life of education their is a need to refresh your mind as we do it at mabanda ya CCM in iringa Town with my fellow lawyers at make.
Subscribe to:
Comments (Atom)


